Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye kesi. watekaji wapo na hawajawahi kuchunguzwa.
Kwa namna nyingine kitu ambacho Samia, Kikwete na genge lao la mafisadi wanajali ni pesa, familia zao. Siku hizi hata pesa ya ujenzi wa treni hakuna tender wanapewa wachina wanaotoa 10% na wakina mwigulu na hili genge wanagawana. Hawajali usalama wa nchi wala nini! ni matumbo yao tu