Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwaajili ya siku ya Akina mama wote, pili niwashukuru wanawake wote kwa mioyo yenu ya upendo, uvumilivu, kujali na kila kitu. Ninyi ni mama, dada,wadogo pamoja na wake zetu
Ni hivi huwa mnajisikiaje pale tunapokuwa tumewadanganya na majanga yakatukuta na ikabidi...