used

  1. KPA is sending used equipments to Lamu port

  2. Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  3. C

    INAUZWA Makochi used yanauzwa Mbweni JKT

    Habarini wandugu, Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi. Bei laki 4 elfu 50. Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi. Yanapatikana Mbweni Malindi/ JKT. Piga 0759970963
  4. Natafuta pikipiki used

    Habari wana jukwaa, Natafuta pikipiki uesd aina ya sanlg. Napatikana Dar. Mawasiliano karibu PM
  5. Nahitaji Howo tipa used

    Habari wadau, Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha zake whatsapp pekee 0755963775. Ikiwa namba D itapendeza zaidi. KIMOMWEMOTORS
  6. E

    Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants

    Kusoma hakuishi kabisa yaani. Wataalam wa Accounts nisaidieni haka kaswali, wakuu. "Mechanism used in dealing with professional misconduct of accountants"
  7. INAUZWA Sofa set (watu 7) used zinauzwa

    Sofa set ya kukaa watu saba 3:2:1:1 unapata na mito yake yote. 450,000/= tu (Dar es Salaam). Call/WhatsApp: 0676095799
  8. J

    Natafuta freezer used

    Wakuu Habari ya jioni, ninashida na freezer, mwenye anayo anauza anipm tuongee bei!!!
  9. INAUZWA Nauza pikipiki iliyotumika

    Habari Jf. Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used. Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae. Kuna san lg, fekon, boxer tvs Napatikana Dar es salaam. Mawasiliano yangu ni 0744033555 nitafute any time...
  10. Natafuta bati used, palywood(Marine bodi)

    Wakuu natafuta mabati ambayo ni used kwajili ya site fence ya ujenzi, pia ukiwa na Playwood(MARINE BOARD) na material zingine za ujenzi Please tuwasiliane kwa namba 0766943145
  11. Top ranking US Catholic Cardinal says COVID 19 used to advance Godless and Murderous Agenda!

    Ipo siku mtamkumbuka D.Trump wakati tayari mtakuwa mmeshachelewa, kinachokuja huko mbele ni pure evil, hata Kanisa limeanza kuona, D.Trump ndiye pekee aliyekuwa anawazuia Globalist kuwafanya Watumwa, sasa wote ni lazima mpigwe chanjo na huo ndio mwanzo tu, ... Full video hapo chini.
  12. Tyres Used nzuri kwa Bei Rafiki

    Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15. Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa. NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE...
  13. Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  14. C

    Nauza tairi used BMW

    Leo nabadilisha tairi za gari yangu BMW 3-series E90. Nauza tairi ilizokuja nazo toka Singapore mwezi huu. Tairi bado zina tread nzuri. Size ni 225 45R17 Continental ContiSport run-flat. Bei elfu 50 kila tairi mazungumzo yapo. 0759970963
  15. Nahitaji kioo cha Samsung Galaxy S7 edge kilichotumika

    Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
  16. Phone4Sale Iphone 7 Plus 32 GB (Used) Clean as new full box

    Nauza Iphone 7 Plus 32 GB - USED. Kama mpyaa.. kila kitu funciton as new 95% Battery Health Price: IMESHAUZWA Location: IMESHAUZWA Contact : IMESHAUZWA
  17. K

    Natafuta tairi used za Bajaj (Ganda la nje)

    Habari wakuu. Natafuta tairi mbili zilizotumika za Bajaj ambazo zipo kwenye Hali nzuri ili niweke kwenye Bajaj yangu.
  18. M

    Samsung galaxy s6 used 60,000 TZS

    Imeuzwa tayari
  19. CCM they used the word "Wanyonge" to deceive ignorant

    To be honest Hon JP, has already lost influence, so he used the Word " "Wanyonge" in order to find sympathetic .
  20. Mwenye kioo cha Samsung A20 used nakihitaji. Nina Tshs. 100,000/=

    Habari wanaforum, Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=. Nipo Dar es salaam Kinondoni. Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo. Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…