ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanachama wa CCM mnaposhangilia ushindi mkumbuke kuwa kuna kipindi kigumu cha maisha kinakuja mbele yetu

    Habari, Kuna watu wanajua ila wanajisahaulisha kuwa nchi za Magharibi ndizo zinazotusogeza mbele au kutusapoti kwenye sekta ya Afya na Elimu kwa kiasi kikubwa. Hii iko wazi miaka na miaka. Watu wa Magharibi hakuna kitu wanajali kama Demokrasia ambayo imeminywa kwa miaka 5 yote ya Magufuli...
  2. Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80... Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
  3. Uchaguzi 2020 Ni sawa Tanzania kuwa na idadi ya wapiga kura milioni 29 mwaka huu?

    Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo. Idadi ya wapiga kura walioandishwa mwaka 2015 ilikuwa ni 23,161,440 (22,658247 kwa Tanzania bara na 503193 kwa Zanzibar)...
  4. Hii ndiyo mitambo ya ushindi Dk bashiru alituambia tusicheze nayo.

    Miaka miwili nyuma mtambo ukiwa kiwandani.
  5. Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
  6. S

    Hivi CHADEMA mmejipanga kweli? Msipoteze ushindi katika suala la mawakala

    Suala la kusafirisha mawakala kwenda kula kiapo wasiachiwe wagombea. Kuna majimbo yana jiografia mbaya sana na hayana mgombea ubunge. Na hata kama yupo hana fedha. Sasa unakuta safari ya kwenda kula kiapo kwa mkurugenzi na kurudi ni ya kutwa nzima. Na gharama ya kukodi usafiri ni kubwa mno...
  7. Uchaguzi 2020 CCM wajiweke kisaikolojia kujiandaa na matokeo yoyote

    CCM Kuna mahali nimekosea, target mbaya, maandalizi mabaya na mipango pia imekaa vibaya. Mzee Warioba alisema kwa Tundu ni mtu ambaye anazijua sana sheria kupambana naye penye haki itakuletea matatizo makubwa. Kwa hali ilivyo sasa kuna uwezekano ulio wazi ni kwamba CCM wajiweke kisaikolojia...
  8. NEW ZEALAND: Chama tawala chapata ushindi wa kishindo

    Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
  9. J

    Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  10. J

    Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani. Chanzo: ITV habari ------ MWANDISHI...
  11. Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  12. J

    Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

    Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi. Ndio kusema kwa...
  13. R

    Ushindi mwingine wa Tanzania kwenye vita ya uchumi

    USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI Na Bwanku M Bwanku Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania kwenye vita nzito ya kiuchumi. Kwenye tukio hilo, Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...
  14. Uchaguzi 2020 Jamana Printers, Wapiga kura mil.29 wa Tume ya Uchaguzi, Asilimia 84 za Ushindi wa Magufuli zinazotajwa kila mara na Ali Bashiru na Polepole

    Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini.. Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha. Halafu...
  15. Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

    Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi. Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa. Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la...
  16. Uchaguzi 2020 CCM wanahitaji ushindi wa 85%, lakini mbinu wanayofikiria kuitumia ni kupitia mawakala, wakifanikiwa hilo watajipa ushindi wa 92%

    CCM wamekuwa wakijinasibu kwamba watashinda kwa kishindo,lakini mbinu pekee wanayofikiria kuitumia ni hii ya mawakala. Zipo namna mbili za kutumia, mosi ni kuwatimua mawakala wote na vituoni wabaki mawakala wa ccm tu kwa kila kituo, hii mbinu ikifanikiwa matokeo yake hayatakuwa tofauti na yale...
  17. Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  18. Uchaguzi 2020 Mitambo ya ushindi ya Dkt. Bashiru Alli yalipuka huko Tunduma

    Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya ushindi wa kishindo. Inaonekana wapinzani wa ccm hawakumuelewa, sasa kwa kilichotokea Tunduma...
  19. Uchaguzi 2020 Ni mpambano wa mwenye roho ya ushindi vs roho ya kushindwa

    Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future. Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu mgombea pia anaonekana kuogopa sana umauti kwani kila anapoenda ana ulinzi mkali ambao haujawahi...
  20. S

    CCM fahamuni ushindi wa Lissu mnaweza kufananisha na reli ya standard gauge

    Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…