Naomba niweke hapa ushuhuda huu, hata akiusoma mtu mmoja tu kwangu inatosha, unaweza kubadilisha maisha yake kwa namna moja au nyingine. ni juu ya yale Mungu amenitendea leo hii, siwezi kunyamaza.
kwa muda wa miezi kadhaa nimekuwa nikipitia kwenye kipindi fulani cha jangwani, na januari hii...