usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Sasa tunaitaka Katiba iwe kwa mchana na ama usiku!

    Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi kupola mali zetu kwa kutumia mamlaka yao Tunataka katiba itayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha...
  2. Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

    Uamuzi huo umetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) baada ya kubaini Mabasi hayo kuchezea Mfumo wa Kufuatilia Mwendo (VTS) kwa lengo la kusafiri kwa Mwendokasi ili kushindana kufika Stendi. Kwa mujibu wa LATRA, watoa huduma hao wamekuwa wakitumia fursa ya kuanza safari...
  3. Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

    Kuna kipindi nilipoteza kazi na kufikia maisha yangu kuyumba sana, hivyo ikapelekea mimi kuanza kuuza vitu yyangu yya ndani ili nipate mtaji nianze biashara ili kujikimu. Jiji la Dar ukiingia kwa mara ya kwanza unaweza usilielewe ukajionea kero tu na ukaona bora urudi zako mkoa, ila ukikaa kwa...
  4. Karia: Wachezaji ambao hawakuhudhuria usiku wa tuzo wafungiwe mechi tano

    RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao. Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za...
  5. M

    Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  6. Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji. Nimepambana...
  7. Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  8. L

    SoC03 Natamani usiku ungelikuwa mchana

    Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja mbele yake. Ni usiku huo ambao ulileta mabadiliko katika maisha ya Jabali aliyekuwa akiishi katika...
  9. BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  10. Ceasefire Sudan inaisha leo usiku saa tano,: Inawezekana Waamerika na Wasaudi watafanikiwa kuleta amani Sudan?

    Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani. Naona kama vile there is a glimmer of hope. Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African...
  11. Mbona Sura za wana Yanga SC zimekosa Ushirikiano Jioni hii na Usiku huu kama vile Wamesingiziwa Kesi?

    Hakika Mwarabu ni Mtu mbaya sana.
  12. Jamiiforum vs usiku vs boxing

    Wangapi tupo macho ambao tumekosa Usingizi tunapitia nyuzi za JF. Hapa kulala mpk saa 8 ndo usingizi unakuja. Nipo naangalia boxing lakini celewi nikaona niwape Hi wana JF. Kama upo macho tupia hata Hi hapo ili tuwe pamoja.
  13. Usiku mwema jamani

    Bhujiku ng'waka
  14. Kupoteza vibes na mitoko ya Usiku.

    Hi wanajukwaa Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo. Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...
  15. Ukraine wapiga chini drones 36 za Urusi usiku

    Mifumo ya usalama wa anga za Kyiv ziko salama na imara kama siku zote.... Russian forces carried out overnight drone attacks on Kyiv, officials said on Thursday, continuing a monthlong campaign of air strikes against the Ukrainian capital. Military chiefs said Kyiv's air defenses destroyed all...
  16. Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  17. R

    NEMC Tanga City wadhibiti Wenyeji na vigodoro vya usiku mitaani, ni kero kubwa sana

    Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa. Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda. NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
  18. Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  19. Ukraine waangusha drones 35 za Iran kwa usiku mmoja

    Jameni Urusi imeachwa bila kete nyingine, juzi karusha hypersonic ikashushwa, drones za Iran hazina umuhimu tena huku tarehe ya rais kuhutubia nchi ikiwadia, pia Bakhmut imeshindikana...... =========================== Ukraine air defenses shot down 35 Iranian-made drones over Kyiv in Russia's...
  20. K

    Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

    Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…