Ni mwaka na miezi 2 tokea nimeanza kuishi maeneo haya mwazoni tulikuwa tunaishi vizuri, sababu Mimi napenda maeneo yanayotulia makelele sipendagi kabisa.
Miezi 2 nyuma Jirani yangu aliuza nyumba, yake mtu alionunua Ile nyumba hatumfahamu shida imeanza wiki ya pili sasa usiku hatulali, ni...
Mtu mmoja aliniuliza kitu gani miongoni mwa vitu ambavyo najutia maishani..nilimjibu kitu fulani lakini leo napenda kujibu hapa kushare na wengine labda inaweza kusaidia kubadili mitazamo yetu kuhusu maisha.
Binafsi najutia tabia yangu fulani ya utotoni...tabia yangu na ya baadhi ya rafiki...
Wakazi wa Dodoma wana asili ya uvivu,asante JPM kuhamisha serikali Dodoma ili kuwachangamsha hawa watani zangu.
Mwaka juzi nilikuwa naishi Dodoma mitaa ya Nkuhungu,nyumba haikuwa na uzio ila kulikuwa na bomba la maji na kisima, nikajingeza kulima bustani ya mboga, chinese, spinach, mchicha...
Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa?
Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara. Yanaoendelea katika maeneo haya kuhusiana na nishati ya umeme ni...
Hivi Mwanafunzi anayeshinda na njaa kuanzia Asubuhi hadi usiku saa tatu.
Hapa Dar es Salaama unakuta 90% ya wanafunzi wa shule za serikali wanaamka saa kumi na moja na kuanza kugombania daladala na wakifika shule hamna uji Wala chakula na mwanafunzi ili Afike kwao Mbagara, Gongo la Mboto au...
Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.
Ni kwanini...
Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
Nimeitoa mtandaoni.
Tulipanda Usiku, tunavuna Mchana.
Ushoga, ulawiti, usagaji
Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema.
Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua undani halisi wa haki, fursa na...
Baada ya kwa muda mrefu Clouds FM na Kipindi chao pendwa cha Sports Extra kutamba kwa muda mrefu kila Siku za Usiku wa Saa 3 hadi Saa 5 sasa wamempata Mpinzani wao mpya wa Kipindi cha Michezo cha Usiku.
Taarifa ikufikie kuwa kuanzia Wiki ijayo kile Kipindi pendwa cha E-Sports cha EFM...
Picha inajieleza, wametaka kumwibia mzee wangu kwenye kiswaswadu chake usiku huu, akanikimbilia nimsaidie kutuma fedha kwa mjukuu ndipo nikamshitua akazinduka.
Hivi sasa hawasemi "ile fedha tuma kwa namba hii", wanatuma ujumbe wa namna hii
Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu, kumeibuka kundi la wezu wengi wao wadogowadogo vitoto kabisa ambavyo vinaiba sana Pesa Na vitu vidogo kama simu.
Wanachofanya, wanajua nyumba nyingi za kupanga mida ya mchana hukuti watu wameenda kwenye mihangaiko yao. Unakuta nyumba mchana ipo kama...
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.
Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake.
Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.
Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.
Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶
Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.