usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hemedy Jr Junior

    Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  2. BARD AI

    Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi. Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
  3. M

    Naomba hii Ndoto niliyoiota Usiku wa leo isiwe ya Kweli

    Nimeota kumbe Gari Chiba lilishachomwa Moto Kitambo tu na kwamba kwa sasa Picha ya Gari inatafutwa ili Snipers watafutwe na walipige Risasi vile vile na Watafutwe Wataalam walirejeshe kama lilivyokuwa Siku hiyo ndipo Chiba akabidhiwe Kelele ziishe Mtaani. Chiba na Wewe kuwa Mvumilivu Kwanza...
  4. peno hasegawa

    Bunge lisitishe kusafirisha abiria usiku, hali sio shwari

    Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
  5. Kyambamasimbi

    Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

    Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.
  6. DR SANTOS

    Kala makande na konyagi anaanza kusumbua watu usiku

    Kuna vitu vinachekesha sana usiku wa kuamkia Leo nimekuja kugongewa na jirani yangu mlango akidai Kuna shida nyumbani kwake, kaka yake anatapika mfululizo. Ikabidi chap chap niamke kwenda nyumbani kwake mida ya saa namkuta jamaa nje katapika makande yaani punje nzima nzima nahisi ata alikua...
  7. BigTall

    DC wa Rungwe, Haniu amuagiza Mkandarasi kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha mradi wa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli. DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya...
  8. Guru Guja

    Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

    Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale. Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    SportPesa: Yanga walituzunguka, usiku wakatangaza mdhamini mpya

    Maelezo ya SportPesa Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na imekataliwa na CAF, tukaomba ushahidi wa maandishi kwa kujua hii inaonyesha matokeo ya mechi na sio kubeti,”...
  10. Allen Kilewella

    Kama ulimwengu ungekuwa ni Usiku tu ama Mchana tu, maisha yetu yangekuwaje?

    Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
  11. Da'Vinci

    Sababu zinazofanya muziki kua faster wakati wa Usiku

    Muziki, Muvi na series zikifutwa duniani sijui maisha yatakuaje upande wangu maana Muvi na Muzi ni vitu navyovipenda as entertainment for me...napenda sana kusikiliza muziki sidhani kama kuna siku inapita sijasikiliza muziki. Hua napenda nikilala muziki wa slow jams, flashback,afropop nyimbo za...
  12. xxtycoon

    Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  13. GENTAMYCINE

    BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

  15. Pdidy

    MSAADA: Dawa ya kuondoa paka wanaolia usiku wa manane

    Nawaza hata niliyemkosea nakosaaa, Na mwezi sasa nyumba haikaliki mapaka yanalia kuzunguka nyumba nzima. Niliweka sumu wakafa wawili yaan kama nimefungua vita wakija kama wanaita wenzaao hatulali wakuu. Kibaya wapangaji wangu wameanza kuhama mmoja mwanae amelala nae kitandan kamkuta sebulen...
  16. Achraf Hakimi

    Simba kumtambulisha mchezaji mpya leo usiku

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli," Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...
  17. kyagata

    Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku. Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia...
  18. ESCORT 1

    Saa 4:00 Usiku Yanga wana jambo lao

    Je ni jambo gani? Tukutane saa 4:00 usiku
  19. Nyamemba

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye njozi za usiku wa manane

    Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani. Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM )...
  20. Determinantor

    Ni wakati muafaka kwa serikali kuruhusu magari ya abiria kusafiri usiku

    Wakuu, week mbili hizi nimesafiri kwenda Tanga na Sasa Niko safarini kwenda Nyakanazi. Kwa Safari zote hizi, nimegundua na kuthibitisha yale ambayo nimewahi kuyasema hapa mara kadhaa. 1. Mabasi yanaondoka kwa sasi sana unnecessarily. Safari yangu ya Tanga nilifanikiwa kurekodi speed ambapo...
Back
Top Bottom