Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24.
Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.
Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.
Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
MAGOMENI KWA ZITO USIKU
Miaka ya 1970 kulikuwa na mgahawa Magomeni Mapipa si mbali na hoteli ya Butiama ukiitwa Michuzi Mikali.
Mwenye mgahawa huu jina lake lilikuwa Shomvi na alikuwa shabiki mkubwa sana wa Yanga.
Yeye alikuwa anafungua mgahawa wake mchana kwa ajili ya chakula cha mchana...
Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya.
Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo...
Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza.
Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili...
Yani anakuja anatua karibu na dirishani ninakolala anaanza kulia hovyo.
Hapo ni usiku wa manane, anakuja karibu mara 3 kwa wiki. Cha ajabu majirani zangu hawasikii akilia. Namna gani naweza mdhibiti?
Maana kiasili huyu si kiumbe mwema
Hahahah ngoja nianze na kicheko unafiki, hivi wanaonijua huwa naandikaga pumba eti?
Anyway sikuumbiwa mapenzi, ninayotamani yote hufa. I hate love, ila sina jinsi, najua napoteza ila sina namna, nahitaji muda sana.
Ninahisi pain sana kila wazo la kimahusiano linapo nipitia kichwani, furaha...
Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani.
Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...
Hizi radi aisee ni balaa.
Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali.
Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa kabisa nikadhan ndo mwisho wetu pale. Hali imekuja kutulia nikapata usingizi mmoja asubuhi mtoto...
Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
Mkuu wa kikosi cha Polisi cha Usalama wa barabarani ACP Ramadhani Ngazi asema kuna changamoto za kiusalama. Ni kwenye baadhi ya mikoa kutokana na ujambazi n.k Akitaja maeneo ya Rukwa, Katavi, Kagera kuna mapori ambayo ni tishio kwa utekaji.
Akizungumza mbele ya kikao cha LATRA baada ya azimio...
Nakumbuka nikitokea maeneo ya Slipway baada ya boss wangu kunipa laki moja nikatafute samaki,
Nikaenda msasani nikakosa hivo nikaona niende feri, nikapanda gari la kwenda Kariakoo tulipokaribia Salender nikamwomba konda anishushe hapo, konda kwa mshtuko, unasema?
Nikamwambia tena nishushe...
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize, ghafla uso kwa uso na Mchungaji wangu, akaanza kunichana; " kijana ijumaa kuu hii unasubutu Kufanya...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 4, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 1.
MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani kuangalia upya amri inayokataza mabasi ya abiria kutembea barabarani...
Tupo kijiweni kwetu tuendelee kupeana update za ligi ya Mabingwa afrika,,kwa mechi za Leo jumamos na Jumapil alfajiri,tujue Nani ataongoza makundi na vilevile kujua Nani atasonga mbele Kati ya Al ahal🇪🇬 vs Al hilal🇸🇩
Karibuni
Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba.
Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha Wizara hiyo kutekeleza malengo ya Serikali katika kukuza diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa...
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU.
KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Raja Casablanca [emoji1026] na Simba [emoji1241] utachezwa Jumamosi ya April 1,2023 kuanzia saa nane...
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.
Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na...
Wakuu salamaa,
Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!
Je, ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu?
Muwe na asubuhi njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.