Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima.
Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena.
Nimejaribu kuuliza hiki kitu kwa watu wa karibu wengine wanasema ni stress za maisha, wengine sina ela...