utalii

  1. Kalambo Waterfalls Tanzania

    The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
  2. Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  3. Mvuto wa Mlima Taishan

    Mvuto wa Mlima Taishan Mount Taishan Attracting Visitors Mohamed Mwinyi Mohamed BAKITA TANZANIA Mlima Taishan wenye historia ya miaka mingi ni mojawapo la machimbuko ya utamaduni wa kale wa China. Kwa misingi hiyo mnamo mwaka 1987 serikali ya China ilipendekeza uingizwe kwenye orodha ya...
  4. Naibu Waziri wa Utalii akiri ni kweli bila vivutio kutangazwa utalii hauwezi kuendelezwa

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amekiri bila kutangaza vivutio vilivyopo nchini Utalii hauwezi kuendelezwa. Ametoa kauli hiyo akimjibu Mbunge aliyehoji kuhusu mkakati wa kutangaza vivutio vya Kusini. Akiwa Bungeni, Masanja amesema bila kuimarisha miundombinu utangazaji wa...
  5. Majaliwa: Sekta ya Utalii ilikumbwa na changamoto ya ukuaji kutokana na janga la Corona

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19 Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha...
  6. Q

    Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  7. CAG: TSh. milioni 140 ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na Mkataba uliosainiwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa. Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
  8. Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  9. Hii tabia ya hawa YouTubers inakera, na ni ukomo wa ubunifu

    Waimbaji wa muziki wa dini na kijamii wanasumbua sana WhatsApp inbox. Kila kukicha unakuta naomba subscribe kwenye channel yangu, au uangalie hii video yangu KUUNGA Mkono huduma yangu. Nadhani hii ni poor Digital marketing plan. Wekezeni kwenye content sisi tutazitafuta tu. Nguvu kubwa...
  10. Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

    Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea...
  11. L

    Ubunifu unahitajika zaidi kuweza kufufua sekta ya utalii

    Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya kukuza sekta ya utalii, moja ya nguzo za uchumi wa nchi hiyo, na unalenga kuyapongeza mashirika...
  12. UTALII WA NDANI: Ziwa Kyungulu/ Kyungulu Crater Lake, Mbeya

    Ziwa Kyungululu/ Kyungululu crater Lake Ziwa Kyungululu llinapatikana Lugombo katika kijiji cha Kabembe kata ya Itete, Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, linapatikana umbali mdogo kutoka ilipo Hospitali teule ya Itete. Uwapo katika eneo lilipo Ziwa Kyungululu utaweza kuona kwa uzuri...
  13. Kuendelea kushuka kwa Utalii: Serikali yaombwa kuangalia upya tozo zilizowekwa kwenye Hifadhi

    Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia viwango vyao kwani grafu ya utalii inashuka. Hata hivyo, Waziri wa...
  14. Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  15. Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

    Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana. Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
  16. M

    Je, ndiyo kusema kuwa kwa hili Bodi ya Utalii na Serikali imefanikiwa au ni jambo la Kawaida ila Ushamba unatusumbua tu?

    Kocha Ole Gunnar Solskjaer atumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United. "Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika. Unajua ni nini kitatokea?-utaganda na...
  17. Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

    Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia...
  18. Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  19. D

    Ushauri: TANAPA,TTB wajenge jengo la kisasa la kutangaza utalii Kanda ya Ziwa

    Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
  20. Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…