Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania hivi sasa imekua ni sekta inayochangia takribani 25% ya pato la taifa na hii ni kwa mujibu wa hotuba...