Je, huu ni Utani wa kweli wa Kimakabila yetu nchini Tanzania au ni Utani wa Kutamani kweli huku Ukitega kuangalia anayetaka Kukuzidi Kete kwa Mrembo?
" Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa...