utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni aidha Wenje au Lissu waenguliwe CHADEMA kama chama kipo Makini, vinginevyo ni utapeli

    Kwema Wakuu! Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria...
  2. R

    Hakuna Kiingilio!! Kichekesho na utapeli wa mialiko ya mikutano ya injili

    Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
  3. Usipothibitisha kwa mifano hai kuhusu tuhuma za utapeli kwa watumishi wa Mungu, Basi Mungu ataendelea kuwainua watumishi hao kila siku

    Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment! Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu wanafanyiwa na watumishi wa Mungu basi jaribu kuwa na kiasi. Kama hujafanya utafiti wako binafsi na...
  4. J

    Jihadharini na utapeli wa mauzo kwenye maduka

    Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi wake ambaye hakuwepo wakati huo amkubalie kununua kwa bei hiyo. Baada ya muuzaji kumaliza kuongea na...
  5. Wafanyakazi wa NBC waachiwa huru baada ya kesi ya utapeli TSh milioni 390 kufutwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
  6. Haiwezekani kubaki mwaminifu kwenye Mapenzi!

    Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako. Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
  7. Makampuni ya Utapeli ya kutoa Mikopo yashtakiwe

    Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine. Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa...
  8. Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  9. N

    Huu utapeli ni mpya au upo? Wauza Vyombo vya Mnada wawaliza kina mama Kimara, kuweni makini

    Aina ya risiti zao Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama masufuria na vifaa vingi vikiwa vya kieletroniki kama simu, laptop, sabufa, pasi na vitu vingine...
  10. N

    Msanii Mario na Abba meneja wake, wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media

    MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
  11. N

    Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

    Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media.
  12. Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  13. THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

    Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu. Wanaojifanya Afisa wa TRA: Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
  14. Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

    "wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI "Israel ni mashoga" JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
  15. TCRA: Utapeli wa "Tuma kwa Namba Hii" umepungua sana nchini

    Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
  16. Ukitumiwa ujumbe na Matapeli huwa unajibu nini?

    Ukitumiwa ujumbe mfupi na matapeli wa mtandao wale ambao wanaandika “tuma ile pesa kwenye namba ” Huwa unajibu nini? Na unachukua hatua gani?
  17. Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

    Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity. Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni...
  18. DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  19. Hii Issue ya Utapeli wa "Tuma Kwa namba hii" nadhani wafanyakazi wa makampuni ya simu wanahusuka Kwa asilimia kubwa

    Habari zenu wakuu. Mzee Ayo huko Arumeru amemaliza safari yake ya hapa Duniani, ni chanzo kikitajwa ni utapeli wa mtandaoni maarufu " Tuma Kwa namba hii" Kwenye hili tuache unafikia hawa watu wa mitandao ya simu inawezekana wapo wengi sio waaminifu na wao ndio wanaoinjinia huu utapeli . Natoa...
  20. Dkt. Manguruwe anyooshewa kidole akidaiwa kufanya utapeli kwa baadhi ya wateja walioitikia kuwekeza kwenye kampuni yake

    Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo =================== Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa kampuni ya Pig Investment International (Kijiji cha Nguruwe) inayomilikiwa na Simon...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…