utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huu ni aina ya utapeli au ni watu wamekosa kazi ya kufanya na wanaofanya haya wanataka nini? Labda kutaka kukukomoa sijui!

    Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda...
  2. Harufu ya upigaji; Document ya kitapeli inayo chafua jina la Lake Oil Company kwa utapeli wa nafasi za kazi yasambaa mtandaoni.

    Halafu bado kuna watu watakuja kusema wamepigwa. Document yenyewe ni hii niliyo iambatanisha hapa
  3. Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja... -Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika -Ushuhuda Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
  4. Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  5. J

    UWT yatahadharisha umma matapeli wanaotumia jina la Jokate utoaji mikopo

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu.. Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
  6. A

    DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  7. A

    DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    Mimi ni miongoni mwa wafanyakazi (150+) wa M-gas Cooking Limited. Hatujalipwa mshahara wa mwezi wa pili bila taarifa yoyote zaidi ya hapo tulipokea taarifa kwa njia ya email kwamba kampuni imeshindwa kutulipa mshahara kutokana na matatizo yao ya kibenki na masuala yote ya kampuni tumuone Andron...
  8. Je huu ni utapeli kwa hisani ya Serikali?

    TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika. Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika. Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
  9. Tahadhari: Moja ya kiashiria cha utapeli wa Kimtandao ni kuitwa WhatsApp

    Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%. Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
  10. Niuluze chochote kuhusu utapeli

    Boss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi wangu kupitia watu wa Africa na rasilimali zao. Karibuni.
  11. D

    25 years of marriage, mke positive, mume freshi!

    Story short, I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children. Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji...
  12. Kufanya uhakiki wa taarifa hukuepusha na utapeli wa mitandaoni

    Uhakiki wa taarifa ni mchakato wa makusudi wa kufanya tathmini ya taarifa ili kujua chanzo au uhalisia wake. Katika ulimwengu wa leo, takwimu za Global Media Statistics zinaeleza kuwa zaidi ya 62.3% ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kuwa jukwaa kubwa la usambazaji...
  13. LGE2024 Ndugu yangu alivyotapeliwa kununua matairi feki ya gari, kuweni makini

    Habari wakuu, Leo nimeona niwezeku-share nanyi namna ndugu yangu alivyotapeliwa mbele yangu jioni kweupe mida ya saa kumi. Ilikuwa hivi ndugu yangu anaendesha "Bolt" na "Uber" na anamiliki gari ndogo ya kwake binafsi. Kutokana na hali ya maisha kuna matairi yalikuwa yameisha na hakuwa ameweza...
  14. Kuongezeka kwa uhalifu wa kifedha na utapeli bara la Afrika

    CHANGAMOTO ZA MAENDELEO BARANI AFRIKA Uhalifu na utapeli ni changamoto zinazokumba jamii duniani kote, na nchi za Kiafrika haziko nyuma katika kukabiliana na matatizo haya. Hata hivyo, tofauti kubwa inajitokeza katika njia ambazo viongozi na watendaji wa Kiafrika wanavyochagua kushughulikia...
  15. Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

    Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE. Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
  16. Utapeli wa kampuni ya tigo wakishirikiana na bima mkononi (milvik)

    Je serikali haioni jinsi kampuni ya Milvik ikishirikiana na Tigo wanavyofanya dhuluma kwa wananchi?? Kampunj ya tigo imekua ikifanya uhamasishaji wa wananchi kujiunga bima mkononi ambapo mnufaika hukatwa 5500 kila mwezi na endapo ataumwa yeye au wanufaika wengine wa familia yake kisha...
  17. Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
  18. Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi. Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
  19. TCRA yazifungia Laini 21,000 zilizohusika kufanya utapeli

    ZAIDI ya laini 21,788 za mawasiliano ya simu zimefungiwa kupokea na kutoa mawasiliano kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kutumika kufanya uhalifu mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita. Kwa mujibu wa ripoti ya mwenendo wa sekta ya mawasiliano iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  20. K

    Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

    "Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu NB- 2004-2005...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…