utaratibu mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Chuo cha SUA kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za Wanafunzi

    Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za wanafunzi uitwao SUASIS ambao taarifa za mwanafunzi zinapatikana ikiwemo matokeo, usajili wa kozi, ulipaji ada nk. Utaratibu uliopo ni kwamba Mwanafunzi hawezi ingia kwenye mfumo huo akiwa nje...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Misuna – Singida ina utaratibu mbovu, mabasi hayajali muda kuondoka kwa mabasi

    Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari yako. Tiketi tunazokata ni za elektroniki lakini hakuna kufuata muda licha ya uwepo wa traffic na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Wanafunzi kulazimishwa kusoma tuition shule za Serikali

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kuwasilisha hii kero kwa umma na taarifa hizi zifike TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Kuna utaratibu mbovu sana kwa wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Tandika iliyoko wilaya ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam. Wanafunzi wamekuwa wakilazimishwa kusoma masomo ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Mtwara hukata maji mchana na kuyafungulia usiku wa manane

    Kumekuwa na utaratibu mbovu wa mamlaka ya maji Mtwara (MTUWASA) kukata maji mchana na kuyaachia usiku wa manane muda ambao Wananchi tumelala, hali ambayo inatufanya badala ya kupumzisha mwili tunaanza kufanya kazi ya kukesha kusubiri maji kisha kukikucha tena tunaingia mtaani kusaka hela. Hii...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kituo cha kuandikisha wapiga kura, utaratibu mbovu, kasi ndogo ya uandikishaji unawakatisha tamaa watu wengi kujiandikisha

    Nimefika kituo cha kujiandikishia wapiga kura cha Tegeta 'A' inasikitisha sana kwani mashine iliyopo ni moja tu na watu waliopo na wanaoendelea kuja ni wengi sana kiasi cha kushindwa kukidhi uhitaji. Utaratibu wa kuingia kuhudumiwa kuna namba zinatolewa, wanaopewa kipaumbele ni wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu mbovu wa shirika letu la reli (TRC), wataka abiria kuandika barua ili kurudishiwa nauli

    😂😂😂😂 hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh! Soma: Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…