uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Uteuzi wa M/Kiti wa Bodi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania

    Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar. Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar. Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake. Mamlaka ya...
  2. Ludovic Uttoh: Ukipata Uteuzi wa nafasi yoyote uliyechaguliwa ni wewe, sio wewe na Familia yako

    Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa. Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe...
  3. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  4. Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

    Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads . Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji...
  5. Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

    Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
  6. Rais Samia tuwe wawazi, uteuzi wa Mwigulu ulichemka

    Dude is very smart bookwise ila wizara ya fedha sio mahali pake. Wizara ya fedha inahitaji a practising economist. Mwigulu uchumi aliuweka kando zamani siku hizi amekuwa mwanasiasa. Hapa ilitakiwa aina ya watu kama hayati Dr. Mgimwa au Makamu wa Raisi Dr. Mpango. Serikali inawajua watu wengi...
  7. Nimeamini Pasco Mayalla hataki uteuzi, anaupiga mwingi sana huku Sabasaba

    Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba. Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali...
  8. P

    Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  9. Uteuzi wa ma DC na ma RC unazingatia sifa gani?

    Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi mkuu wa wilaya lazima awe mwenye elimu, ujuzi na uzoefu wa kuongoza watu badala ya kuchagua kwa...
  10. Takwimu mbalimbali katika uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya

    Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139: 11 ni Ph.D sawa na 8% 26 ni Masters sawa 19% 95 ni Bachelor Degrees sawa na 68% 3 ni Diploma sawa na 2% 4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3% 95 Wanaume sawa na 68% 44 Wanawake sawa na 32% Vijana wapo 28 sawa na 20% Waliowahi kuwa...
  11. S

    Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

    Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya. === Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
  12. Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

    Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
  13. Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama. Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
  14. N

    Rais Samia, unapoteua zingatia watumishi wa muda mrefu na wenye uzoefu serikalini badala ya kuwatoa mtaani

    Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo. Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara...
  15. Uteuzi wa Dr Mashinji ni kama kushushwa thamani

    Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani. Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo. Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina...
  16. TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  17. Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

    Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana. Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake. ======== "Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
  18. B

    Majaji wanapatikana kwa mchakato gani Tanzania?

    Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji. Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
  19. Nani anaipotosha mamlaka ya uteuzi kiasi cha kufanya makosa yanayofedhehesha?

    Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari. Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile. Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo...
  20. Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…