Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages
Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi...