uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ushauri: Doctors, nurses na wafanyakazi wa hospitali zote za , serikali wavae vitambulisho shingoni Ili tuwashughulikie wazembe

    Hellow! Katika Taasisi mbalimbali zitoazo huduma za kibenki na Taasisi zingine za Serikali na binafsi, watumishi huvaa vitambulisho shingoni vyenye Majina Yao Ili kumpa nafasi mteja Kutoa malalamiko au kudai HAKI yake ambayo anaona imepokwa au kudhulumiwa na mtoa huduma. Tukirudi kwenye sekta...
  2. T

    Pre GE2025 Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo

    Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa sababu viongozi wasiochaguliwa na umma huwa hawawajibiki ipasavyo. Ndolezi ameyasema hayo katika...
  3. Rushwa imekithiri katika taasisi za serikali bila kitu kidogo hupati huduma bora kwa haraka

    Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
  4. J

    Pre GE2025 Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?

    Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums 'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu. Washiriki...
  5. Uwajibikaji

    Habari wanajukwaa. Mimi ni Mtumishi Sekta Binafsi. Mwenza wangu ni Mtumishi Sekta ya Serikali Idara ya Elimu. Tumepambana kuomba uhamisho wa kubadilishana na mtumishi mwenzake kwa kutumia mfumo wa online ess.utumishi. Mpaka sasa status zao zote zinasoma Tamisemi kwa zaidi ya miezi 7. Tukipiga...
  6. JamiiAfrica, Wadau wa Habari wabadilishana uzoefu wa umuhimu wa taarifa zenye maslahi kwa Umma

    Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku moja...
  7. Pre GE2025 Wanasiasa wangekuwa wanapiga kazi muda wote kama ilivyo kipindi cha uchaguzi Tanzania ingekuwa wapi kimaendeleo?

    Wakuu, Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika mitaani kuangalia mambo yanavyoenda, ziara za kushtukiza zinapigwa kwelikweli, wengine mpaka wameweka...
  8. M

    DOKEZO RITA changamoto ni nini? Angalieni jinsi ya kuboresha tovuti yenu kutujali sisi wateja wenu!

    Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni kwenye ofisi zenu. Ila bado kuna changamoto nadhani kwakua watumishi sasa hawakutani na wateja nadhani...
  9. Pre GE2025 Tusisubiri Rais atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa. Hata kama amevunja katiba yeye pia anakosea

    Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  10. Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  11. B

    Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

    Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua. Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
  12. Ni huduma gani nchini haijajaa malalamiko ambayo tunaweza kusema kwa 90% serikali imetenda?

    Wakuu, Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri? Si kwa huduma za 'bure' wala ambazo tunachangia ambazo zimefanywa kwa ufanisi. Kote kumejaa makando...
  13. M

    Pre GE2025 Wabunge viti Maalum waliohudumu kwa miaka 10 wapishe wengine kuchochea mabadiliko chanya, wasiwe ving'ang'a

    Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha wanawake wengi wanaokipigania chama wanapata fursa ya uwakilishi...
  14. D

    Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  15. Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  16. Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  17. G

    Nilivyoweza kujinasua kwenye gharika la ndugu omba omba, Nilionekana mbahili lakini wanaanza kunielewa, pesa yangu siwezi kuitoa bila uwajibikaji

    Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama hadi wa mke. Katika vitu ambavyo ningependa kuvijua tangu mwanzoni ni hivi Usije kutaja kipato...
  18. Kwahiyo Mchengerwa wananchi wakitumia huduma mbovu ni sawa ila wakimpatia huduma hizo kiongozi ni Uhalifu?

    Wakuu, Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia. Sasa kama hilo umeliita uhalifu, hauoni kama wewe Mchengerwa OR TAMISEMI na viongozi wako ndio wahalifu...
  19. Kumradhi haitoshi! Wananchi tufidiwe tunapokoseshwa huduma stahiki

    Wakuu, Mwananchi akichelewa kufanya malipo au akiharibu kitu hakuna msalia mtume, yaani uwajibikaji ni hapo kwa hapo, sasa kwanini wakitukosesha wao huduma inaishia tu kwenye kumradhi? Uwajibikaji uko wapi? Kwamba sisi ni waelewa sanaaaaa na hasara na usumbufu wote tunapitia hauna maana...
  20. Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…