Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja,
Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...