uwezo

  1. L

    Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  2. matunduizi

    Hili ndilo kundi la wanadini wenye uwezo mkubwa kuliko wasioamini dini na wanadini wengine

    Kuna propaganda kubwa zinaendelea duniani na JF za kuwaponda wanaoamini dini, na kuwaona wanaopuuza mambo ya imani kuwa ni majiniasi. Hii ni kweli kwa aina flani ya wanadini na sio sahihi kabiss kwa kundi kubwa la wanadini pia. Dini namaanisha watu wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu na nguvu...
  3. G

    Kuwa na mtoto moja wakati wazazi wana uwezo wa kuongeza liwe kosa la jinai, ni kumnyanyasa mtoto kukosa ndugu + upweke

    Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k. mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
  4. Akilibandia

    SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  5. The Assassin

    Je uwezo wa kimaisha wa Tanzania (Purchasing Power) ni mkubwa kuliko Nigeria?

    Naomba kuuliza wachumi, je uwezo wa kimaisha ama kiwango cha kimaisha cha watanzania ni kikubwa kuliko cha wanigeria? Nauliza hivyo kwa sababu nilikua natumia YouTube Premium Service (You Tube ambayo haina matangazo, unaweza ku download video, unaweza kuangalia ama kusikiliza hata screen ya...
  6. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  7. M

    Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  8. jikuTech

    Je, ni kweli uwezo wa kutumia intaneti unaweza kufundishwa?

    Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali . Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti Ujuzi wa kutumia intaneti Linapokuja suala la mtu kujifunza jinsi ya kutumia intaneti, ni muhimu kuanza...
  9. M

    Wachezaji watatu wenye uwezo wa kumdhibiti Aziz Ki uwanjani bila wasiwasi

    Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo. 1. Kevin...
  10. Stroke

    Badala ya kutapanya mali kwa wageni kwanini Rais asijikite kwenye kuwajengea wananchi wake uwezo?

    Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu. Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu. Kwa kulitambua hili mataifa makubwa yamekuwa na sera kandamizi na kutumia mbinu za kila aina...
  11. K

    Ukienda Wilaya ambazo wenye uwezo ni wanasiasa pekee kuna tatizo!

    Imekuwa inanishangaza sana ni sio vibaya kusemana kimaendeleo. Wenzetu wa kanda ya kati hasa mikoa ya Dodoma na Singida wanapenda sana sana uongozi hivyo usishangae kuwaona kwenye uwaziri hata usipika. Ukiangalia wakina Ndugai, Malecella, Mwigulu na hata Prof Mkumbo na madharau yao utafikiri...
  12. E

    SoC04 Kufungua uwezo wa teknolojia ya Tanzania: Mikakati kwa maendeleo endelevu ya teknolojia

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
  13. third eye chakra

    Mazoezi rahisi yakujenga uwezo wa kumbukumbu

    Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku. Namna ya kukumbuka ndoto. Je unaota ndoto na unasahau?. Fanya meditation ya Namba. Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota. Sasa unaweza kurudisha...
  14. kilio

    Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  15. P

    Nahitaji Msanifu majengo mwenye uwezo wa kufika site kwangu

    Wakuu habari zenu. Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha. But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo. Site ipo Kiabakari - Musoma, ni vema pia kama mhusika atakuwa mkazi wa maeneo hayo. PM Iko wazi tufanye kazi Kwa Msanifu majengo...
  16. I

    SoC04 Taifa lina kipi cha kutoa katika majukwaa ya kimataifa na umiliki wa Mali asilia iwe kiteknolojia, kisiasa na kideolojia

    Kwa asilimia kubwa Sana taifa limekua liki tafuta na kuwepo katika jukwa la kimataifa kuzungumzia utajiri hasiria ambao Umekua kua ukichangia Sana katika pato la taifa pamoja na watu binafsi. Uwepo wa utajiri huo Bado ahutoshi kua kitambulisho cha taifa leo hii uki uliza watu waliopo Nje ya nchi...
  17. Melki Wamatukio

    Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
  18. G

    Pre GE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
  19. Zakaria Maseke

    Nani ana uwezo wa kushtaki na kushtakiwa kisheria?

    Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI. Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya kilatini ikimaanisha maslahi au haki uliyo nayo au iliyovunjwa na mtu au taasisi na hivyo kukupa haki...
  20. L

    Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

    Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
Back
Top Bottom