uwezo

  1. Selemani Sele

    Kama ungekua na uwezo wa kurudisha nyuma muda manzi mmoja uliepiga na unajutia. Angekua anaitwaje?

    Kuna ule.muda unakaa peke yako unasema najuta kufanya ngono na yule demu natamani muda urudi nyuma ili lisitokee. Kwa mimi ni Aneth mshenzi alinipa gono na uti sugu Nilikuwa nalia kama mtoto kudadeki. Wewe je ni yupi huyo unajutia .
  2. Comrade Ally Maftah

    Pre GE2025 Sabaya ni kiongozi imara mwenye uwezo wa kipekee

    SABAYA NI MOJA YA VIONGOZI WENYE UWEZO MKUBWA SANA KUSIMAMIA SERA NA ILANI YA CHAMA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba "MAPUNGUFU YA BINADAMU NDIO UKAMILIFU WAKE" Ninavutiwa sana na aina za siasa anazofanya kaka yangu Sabaya, na nilipata tabu kiasi...
  3. Kidagaa kimemwozea

    Nafasi za uteuzi zipewe watu wenye uwezo kiuchumi

    Ipo haha ya kizingatia zaidi watu wenye nguvu kiuchumi kushika nafasi kubwa kubwa kwenye vyama serikali na Taasisi ambao kwa nafasi kubwa tunaweza kupunguza, Rushwa, wizi, na kuongeza mentality ya maendeleo. Watu Hawa wanaweza kuwa Bora kwenye ufanizi kuliko wale wasio jiweza kiuchumi ambao...
  4. Mkalukungone mwamba

    KWELI Juhabahari (Clownfish) wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike

    Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
  5. DR Mambo Jambo

    Pre GE2025 Angalia Mpaka Mwisho: Hakika hatuhitaji watu kama D. Sanga kwenye Serikali na nchi yetu tunahitaji watu wenye uwezo wa Kujibu hoja na kutengeneza hoja

    Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa bungeni kama inavyoonekana kwenye video akisema kwamba anataka Magufuli aongezewe muda. Kauli yake...
  6. Yuh003

    Kwanini baadhi ya binaadamu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi?

    Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
  7. PAZIA 3

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na...
  8. mwehu ndama

    Itawachukuwa Simba SC miaka 4 kufikia uwezo wa Yanga SC ya sasa

    Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wana safari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga SC. Kila nikiwasikiliza na kuwatazama wanachama na mashabiki wa Mbumbumbu fc wakitokwa na mapavu, nazidi kuelewa ni kwa nini aden rage...
  9. Chizi Maarifa

    Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
  10. MK254

    Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

    Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel? Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote...
  11. G

    Waafrika tuna uwezo mdogo wa kujiongoza kimaendeleo, Naomba unitajie nchi moja tu ya kiafrika inayoendeshwa na waafrika iliyo stable?

    Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k. South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na...
  12. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
  13. MK254

    Marekani wazindua drone yenye mwendo kasi mithili ya sauti - supersonic

    Waafrika tuendelee kushabikia hawa watu maana hatuna jinsi, wako mbali sana, sisi huku hata umeme wenyewe sio wa uhakika, kutwa migao tu. The drone, which resembled a rocket, flew 10 miles (16 km) at Mach 0.9 — over 680 miles per hour — using 80% of the engine's available thrust. This image is...
  14. MK254

    Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  15. Mtemi mpambalioto

    Serikali iwape DAWASCO uwezo wafunge mtambo hapo JNHEP na mafuriko yatakuwa historia

    Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza tunatumia Dar huku! Hii akili mpaka tuwaambie sisi wanaJF? au mmerogwa jamani?
  16. Arnold Kalikawe

    Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

    WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status. WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30! Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
  17. 100 others

    Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  18. Informer

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  19. Entim

    RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

    RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
  20. L

    Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
Back
Top Bottom