Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
ndio Hamas wanaovaa kiraia kipindi Cha mapigano na kujificha maeneo ya raia kama hospitali,shule na nyumba za raiaIsrael huyu ambae anaangaika na Hamas
Hehehehe Iran unajua Kaunda long range ballistic missiles mpya??Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
Kuna doctors without borders tena ni wazungu wamekataa na wamekanusha Hamas kujificha nyuma ya raia hususan mahospitalini.ndio Hamas wanaovaa kiraia kipindi Cha mapigano na kujificha maeneo ya raia kama hospitali,shule na nyumba za raia
Ujinga ni pale unapompa sifa asizokuwa nazo mtu israel western wakikata usaidizi wa haitafika hata wik mbili wanakataWadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
Sio kwamba wana uwezo ila wanajua wakishambulia Iran na Iran atapoanza kulipa kisasi basi US, NATO yote, Misri, Lebanon, Syria, Saudia etc watamsadia kila kitu ata wakitaka wanajeshi watatoa tuWadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
Syria,Lebanon na Misri hawawezi kumsaliti Iran wakaungana na Israel au USA.Sio kwamba wana uwezo ila wanajua wakishambulia Iran na Iran atapoanza kulipa kisasi basi US, NATO yote, Misri, Lebanon, Syria, Saudia etc watamsadia kila kitu ata wakitaka wanajeshi watatoa tu
Syria unayoixungumzia hapa jua Serikali yake haina ata mwaka tangia Serikali ya Asad ipunduliwe na Marekani na Israel wakiweka Serikali wanayoitaka wao, Lebanon pale kuna Serikali kuu, Hezbollah iko kusini mwa Lebanon tu ila upande mwingine wote iko Serikali kuu ambae mfadhili wake kuu wa kijeshi na US, Hapo Misri ndiyo usiseme, moja nchi ambayo yenyewe hautaki ata kugusa mpaka wake na Israel kwa siraha nzito za kijeshi ni Misri, kwaiyo katika ao hakuna wa kumuamini.Syria,Lebanon na Misri hawawezi kumsaliti Iran wakaungana na Israel au USA.
Tena hususan Syria na Lebanon.
Lebanon walioshikilia serikali ni Hizbollah kwa asilimia 60.
Badala ya kuzungumza ya nchi Yako yenye umasikini wa kunuka unajikwamuaje mnajikwanuaje kama taifa unaenda kuzungumza ya Iran shame on youWadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
Syria serikali yake mpya bado haiaminiki hata na Israel.Syria unayoixungumzia hapa jua Serikali yake haina ata mwaka tangia Serikali ya Asad ipunduliwe na Marekani na Israel wakiweka Serikali wanayoitaka wao, Lebanon pale kuna Serikali kuu, Hezbollah iko kusini mwa Lebanon tu ila upande mwingine wote iko Serikali kuu ambae mfadhili wake kuu wa kijeshi na US, Hapo Misri ndiyo usiseme, moja nchi ambayo yenyewe hautaki ata kugusa mpaka wake na Israel kwa siraha nzito za kijeshi ni Misri, kwaiyo katika ao hakuna wa kumuamini.