uwezo

  1. Mzalendo Uchwara

    Kuzorota kwa mambo nchini, ni uwezo mdogo wa kuongoza au anatengenezewa mlango wa kutokea 2025?

    Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi, kila siku ni excuse zisizo na kichwa wala miguu. Na hilo bwawa linalotegemewa kuleta unafuu...
  2. G

    Video: Hezbollah wakishangaa uwezo wa teknolokia ya Iron dome ikipangua makombora wanayorusha,

    katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa, JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo kama wanavyofanyiwa na Hamas au Hezbolah ? Hezbollaj wanarusha roketi za dola elf 2 (shilingi milioni...
  3. B

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  4. DodomaTZ

    Bandari ya Mtwara kwa sasa ina uwezo wa kuhudumia Zaidi ya Tani 1,000,000 kwa Mwaka

    Bandari ya Mtwara ni miongoni mwa bandari kuu tatu zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliyopo Kusini mwa Tanzania karibu na mpaka na Msumbiji. Kijiografia inapatikana kilomita 578 Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam. Bandari ya Mtwara ambayo ina kina kirefu ilijengwa...
  5. The Sheriff

    Je, mgombea unayemuunga mkono ana sifa za uadilifu na uwezo unaohitajika kwa kazi hiyo?

    Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni lazima tuzingatie sana sifa za mgombea tunayempigia kura, ikiwa ni...
  6. DR Mambo Jambo

    Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iko Mbioni Kujenga Uwanja wa Ndege Zenye Uwezo wa Kubeba Abiria 50 Mkoani Singida

    Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
  8. Suley2019

    Akajibu "Baba hatumpi kura kiongozi kwa kumlipa fadhila, tutaangalia sera na Uwezo wake kutekeleza"

    Salaam ndugu yangu, Ilikuwa mwaka 2019 siku chache kabla ya Uchaguzi, Mzee mmoja aliyekuwa akigombea nafasi ya Uenyekiti alikuwa na ukaribu Mkubwa na mjomba wangu. Mgombea huyo ilikuwa hakosi kuwaita Jamaa na marafiki (akiwemo Mjomba kwenye vikao vya pombe na bata nyinginezo). Ghafla Mzee...
  9. P

    Kama nchi naamini tuna uwezo wa kufanya vizuri zaidi ya hivi tunavyofanya

    Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake...
  10. Pascal Mayalla

    Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Nimemuelewa muha ila anajaza ndugu kwake bila kujali uwezo

    Bila salamu! Sifa nyingi anazo, msikivu, mtamu, ana tako, mpambanaji, ana heshima, mvumilivu na kadhalika. Na mimi hapa nimemuelewa, ila kwa sasa tatizo naloliona ni moja tu. Anajaza ndugu sana kwake. Ananishi chumba na sebule lakini wageni hawakauki. Kwa wiki mara 2 mpaka tatu. Kuna nyakati...
  12. Roving Journalist

    Masoud Mrisha: Sasa Bandari ya Tanga itakuwa na uwezo wa kuhudumia hadi tani 3,000,000 kwa mwaka. Awali ilikuwa tani 750,000

    BAADA YA MABORESHO KUKAMILIKA, BANDARI YA TANGA IMEFUNGUKA NA KUZALIWA UPYA, SHEHENA NA MELI ZAZIDI KUONGEZEKA Na mwandishi wetu, Tanga Baada ya kukamilika miradi ya maboresho katika bandari ya Tanga, kumepelekea tija kubwa kuonekana katika nyanja tofauti ikiwemo kuongezeka kwa shehena na meli...
  13. THE FIRST BORN

    Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  14. B

    Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNDP kuwajengea uwezo wajasiriamali fursa za AfCFTA

    Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Mkataba huo wa miaka mitano unakusudia kufanikisha uwezeshaji wananchi hasa...
  15. KING MIDAS

    Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

    Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
  16. N

    Naomba kufahamu uwezo wa jicho kuona

    Nimekuwa nikijiuliza, Uwezo wa jicho kuona ni megapixel ngapi kama utalinganisha na kamera tunazotumka katika vifaa mbalimbali kama vile simu, ningependa kuelewa hilo.
  17. MK254

    Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
  18. GENTAMYCINE

    Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  19. S

    BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  20. M

    Watu wenye mvuto na uwezo mkubwa wa akili

    Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya. Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika. Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye...
Back
Top Bottom