Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.
Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu...
Ujasusi ndio 'kiini tete' cha kila nchi na ujasusi wake wa nje na wa ndani unazingatia masilahi na usalama wa kitaifa.
Shirika la Kitaifa la Ujasusi ndilo ulinzi wa kwanza wa taifa, na ndilo shirika linalohusika na kupata taarifa za siri, na dhana za udukuzi zinazofanywa na nchi, lakini si...
Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20%
Tasfiri yake...
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU.
Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na...
Hebu fikiri eti akina Mdude, Slaa na Mwabukusi eti wanatoa tamko la maandamano Leo. Kwa tuliojaliwa kuwa na akili tayari huo ni mpasuko mkubwa kwa vyama vya upinzani kwamba wameishiwa pumzi sasa wanatafuta wasiokuwa na vyama wawasaidie huenda watawasikiliza.
Sisi tutajiuliza mbona Slaa...
Rais Samia amesema "Viongozi wa Kisiasa tunadhani tuna Haki ya kuburuza watu tunawageuza watu Makasuku, nenda kamuulize kifungu gani cha Katiba kinakuudhi, hajui sasa Katiba mpya ilete nini anakujibu Maendeleo tu, nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Kama kuheshimu Vitabu tungeheshimu...
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum
"Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja?
Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22...
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika...
Hata mimi nina threads kadhaa za kuuponda mkataba wa DP World na Tanzania kutokana na vipengere visivyo na manufaa kwa nchi yetu. Kimsingi kila mwananchi kwa sasa amekuwa bingwa wa mikataba na uwekezaji kutokana na maamuzi ya Rais Samia kufungua uhuru wa maoni ambao ulidhibitiwa na mtangulizi...
Hello JF,
Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi.
Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi.
Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili.
Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba.
Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma...
Yale maneno aliyosema Wakili Mwabukusi kwamba jambo baya litatokea madai yao yasiposikilizwa, yale maneno ni vitisho tu.
Tumemsikia wote Wakili Mwabukusi anasema"Wasidhani tunaleta masihara. We mean business". These are idle words, empty words, hollow words. Kwa sababu huyu Wakili Mwabukusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.