uwezo

  1. matunduizi

    Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Kuna habari kuwa Israel imeamua kuwanyima ajira wapalestina na sasa anataka kitafuta vibarua wapya mashambani kutoka Afrika na kwingineko duniani. Hii nimeisoma humuhumu JF. Nashauri kabla hatujarisk kuwapeleka raia huko kupiga shekeli basi tujirithishe uwezo wa nchi hiyo kujinda. Kama bado...
  2. matunduizi

    Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  3. K

    Google watuhumiwa kuonesha uwezo bandia wa Gemini AI

    Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
  4. Chachu Ombara

    Padri Kitima: Bunge letu linafikiri kichama. Upeo wa kuchambua masuala ya nchi yetu umeshuka

    Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Kitima akiwa kwenye mahojiano na The Chanzo amesema kuwa ule uwezo wa kuchambua masuala ya kitaifa umeshuka. ' Ule uchambuzi, kuchambua masuala, kupembua wa watu wa kawaida umeshuka. Wewe angalia sasa hivi watu wana miaka saba hatujawaongelea juu ya haki zao za...
  5. B

    Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

    Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa. Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua. Ccm kamachama Doka kina...
  6. Webabu

    Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

    Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano kuwasaidia wenzao wa Gaza, Marekani imekuwa ikikasirika sana na hata kuwahi kusema Yemen ni rogue...
  7. matunduizi

    Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
  8. Suzy Elias

    Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
  9. Majok majok

    Wananchi kuteleza sio kuanguka mnao uwezo mkubwa wa kubadili mambo, belouzdad wamewaamsha rasmi!

    Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini! Timu ili icheze vizuri inatakiwa Kila mchezaji awe timamu kimwili na kiakili na Kila mchezaji atimize majukumu yake ipasavyo lakini kwa...
  10. N

    Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
  11. William Mshumbusi

    CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  12. Arnold Kalikawe

    Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  13. William Mshumbusi

    Dani Cadena kocha bingwa wa figisu asiye na uwezo aliyeivuruga Azam. Kaweza kuzuia Mgunda lakini hatashinda gemu hata moja

    Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa. Toka aje simba kiwango cha makipa...
  14. Kariakooking1978

    Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  15. sammosses

    Vita vya kuviziana, mwenye uwezo wa kumvika paka kengele bado hajazaliwa

    Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa. Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa kazi zote za serikali,na waziri Mkuu huyu atapokea maelekezo toka kwa Rais na si vinginevyo. Drama...
  16. BARD AI

    Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  17. Kabende Msakila

    Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

    Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake. # Paul Makonda (CCM); # John Mrema (CHADEMA); na # Salim Bimani wa ACT Wazalendo. Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo? Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana...
  18. Uhakika Bro

    Hivi ni nani alotudanganya kuwa wasiwasi ndio akili? Sio kweli, udadisi ndio akili

    Unataka kuwa na akili? Tena kimsingi sio kutaka kuwa na akili, bali ni je? Unataka kuzitumia akili ambazo tayari unazo? Na je Unataka mwanao aweze kutumia akili alizojaaliwa kwa kuzaliwa tu akiwa Homo sapiens a wise humanoid? Je unataka awe mwenye uwezo wa kujifunza? Ni kweli matumizi...
  19. Ghost MVP

    Utafiti na Vithibitishi vya Uwezo wa Kusafiri katika Muda (TIME TRAVEL)

    Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda. 1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941 Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa...
  20. Mwande na Mndewa

    Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
Back
Top Bottom