uwezo

  1. SAYVILLE

    Tujihadhari tunapoendelea kujaza uwanja wa Mkapa kuzidi uwezo wake

    Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
  2. Vangigula

    Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom...
  3. David Harvey

    Vijana fanya uwezavyo jitahidi uwe na uwezo wa kuongea Kiingereza

    Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo. CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa...
  4. K

    Viongozi Wote Walio Karibu au Wana Uwezo wa Kumfikia Rais

    Wanao wajibu wa kumweleza rais ukweli wanavyouona wao kwa msukumo wa uzalendo wao kwa nchi yao. Maswala mazito, kama hili la Bandari yanapotokea nchini na kuwa na mwonekano wa kuwagawa wananchi katika makundi yanayovutanai, siyo mambo ya kunyamazia, hasa kwa viongozi wa ngazi za juu mbalimbali...
  5. R-K-O

    Tatizo sio uwezo, Hawa wachezaji wapya wa Simba wameshajiweka kinga kwa msimu mpya?

    Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI". Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
  6. kali linux

    USHAHIDI: Leo nimeamua kui-challenge ChatGPT kwenye uwezo wa kusuka algorithms lakini nadiriki kusema 'AI is not yet super helpful'

    Hello bosses and roses, Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo imeingiliwa na hili 'TOY'. Naliita toy sababu kwangu mimi naona ni Toy tu hasa tukilileta kwenye sector ya...
  7. D

    Fatma Karume ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo, anaongoza kwa ubishi

    Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe. Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
  8. M

    Albert Msando acha kutetea tumbo lako. Hauna uwezo wa kudadavua na kujua mambo kama Prof. Shivji

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga Wakili Albert Msando amesema mkataba uliosainiwa baina ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari nchini (TPA) na serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World ni wa jumla kwakuwa kifungu cha Pili 'C' cha mkataba...
  9. Chachu Ombara

    Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  10. Baba jayaron

    Nilipopoteza uwezo wangu wa kimiujiza

    Habari wanajamvi, Leo nataka ni share kidogo changamoto ya maisha yangu... Nimelelewa katika familia ya kawaida saana japo sikulelewa na baba ila upande wa mama. Mama yangu na baba yangu ni dini mbili tofauti. Kwa story niliyopewa ilikua almanusura ni uawe nikiwa tumboni ila haukua wakati...
  11. polokwane

    Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  12. Upekuzi101

    Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

    Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani. Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo...
  13. comte

    The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  14. Sci-Fi

    Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide-Kufungua Uwezo wa Biashara kupitia Ujasusi Bandia: Mwongozo Kamili

    Habari za Muda huu wakuu, Wengi wameandika kuhusu AI, ila na mimi ningependa kutia neno kidogo lakini katika angle ya baishara, kama title inavosema "Unlocking Business Potential through Artificial Intelligence: A Comprehensive Guide, kwa tafsi isiyo rasmi sana "Kufungua Uwezo wa Biashara...
  15. Fortilo

    RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  17. Nyendo

    KWELI Bundi si mchawi, ana uwezo mkubwa wa kunusa seli zilizokufa

    Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa. Je, ukweli wake ni upi?
  18. H

    Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  19. Akilihuru

    Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  20. D

    Swali kuhusu uwezo wa CCM kuongoza nchi

    Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"
Back
Top Bottom