Jumuiya ya Wanawake CCM(UWT)Moshi mjini kupitia
Kamati yake ya Utekelezaji (W)Moshi Mjini ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Theresia Komba , Katibu,Catherine Sarawatt wameanzisha mradi mpya wa Ushonaji .
Mradi huo utatoa fursa kwa Wanawake wenye ujuzi wa ushonaji na wajasiriamali,wasichana na...