Habarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...