vifaa

  1. M

    Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  2. L

    Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  3. M

    Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  4. Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  5. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kudhibiti matumizi ya dawa za Viagra na P2

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake. Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
  6. Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  7. Natafuta vifaa vya scania

    Habarini za usiku wakuu. Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde naomba asisite kunipa mwongozo. Item No. Description of items PRICE 2. Fuel filter 1R-0749 4 Air Cleaner 371-1799 5 Main element 151-7737 7...
  8. SOLD: Vifaa vya saluni vinauzwa vyote

    done
  9. Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  10. Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  11. Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  12. Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  13. L

    Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
  14. Vifaa vya stationery vinazidi kupaa juu. Tunaisaidiaje elimu yetu?

    Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana. Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/= Kwa sasa ni Tsh 100,000/=. Mimi bado...
  15. Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  16. INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa maelewano yapo

    done
  17. Watu wa Stationery tunaomba serikali ichunguze kupanda kwa bei za karatasi na vifaa vingine

    Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea. Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
  18. Nauliza sehemu wanayokodisha vifaa hivi vya michezo ya watoto

    kama Kuna mtu anajua vinapokodishwa naomba tuwasiliane DM
  19. Vifaa vya saloon ya kike vinahitajika

    Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used mwenye navyo plz nichek 0783414538
  20. Nahitaji kufungua Duka la Vifaa vya Ujenzi, naombeni msaada

    Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata. Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…