vifaa

  1. Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad)...
  2. Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  3. B

    Marekani yakabidhi misaada ya afya na vifaa tiba kwa Tanzania, thamani TZS 497,559,000

    Marekani ya kabidhi misaada kwa serikali ya Tanzania TZS 497,559,000 kwa ajili ya huduma za afya katika Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Magereza Tanzania pamoja na vituo vya afya vilivyo chini ya majeshi hayo vitoavyo huduma kwa majeshi hayo na jamii inayoishi jirani na majeshi hayo...
  4. Vifaa vya stationery vinahitajika

    Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo. 1.Realm paper 2 flat files 3.printer ink HP laser jet 83A na 85A 4. Endorsing ink 5.blue pen and red pen 6.Box files 7.rubber band 8.steppler 9.punch Etc. Najua k/koo nikienda kutafuta nitaipata lkn Kama Kuna mdau huku...
  5. SoC01 Vijana wajishughulishe na plastic welding/ kuchomelea vifaa vya plastics

    Kwanini plastic welding? 1. Ni shughuli ya mtaji mdogo 2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique 3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers kwa bei ya chini sana maana hawajui watavitengeneza vipi. 4. Ni shughuli yenye kipato cha haraka na...
  6. #COVID19 Afghanistan: Shirika la Afya lakabiliwa na upungufu wa vifaa kutokana na vizuizi

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
  7. VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  8. Bei ya vifaa vya maabara ya physics

    Salaam wakuu . nilikua naomba msaada wa kutajiwa bei ya vifaa vifuatavyo . 1. Voltmeter,galvanometer, ameter, resistors (rheostat) 2. Calorimeter. 3. Spiral springs. 4. Laboratory beam balance . 5. Stopwatches . Nahitaji kufungua home laboratory kwa ajili ya kuwapga msasa vijana hasa somo la...
  9. Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

    Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
  10. Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

    Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro. Watumishi wa ardhi...
  11. Kipanya apewe tenda ya kuchora matumizi sahihi ya vifaa hivi

    Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
  12. S

    Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  13. L

    Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  14. WHO: Vifo vya Covid19 vimeongezeka kwa 43% kutokana na uhaba wa vifaa tiba Afrika

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni Kutokana na uhaba wa vifaa tiba ndani ya wiki moja vifo vimeongezeka kwa 43%. Huku 83% ya vifo vikirekodiwa zambia, Uganda...
  15. SoC01 Ajira kupitia kukusanya vifaa vibovu vya wateja na kuvipeleka kwenye matengenezo

    Kuna eneo linaweza kutoa ajira, japo litahitaji mtaji mkubwa kidogo. Wangalau 50m itawezesha kuendesha huduma hii. Inafahamika kuna watu wengi wanaobanwa na kazi siku nzima kiasi kukosa muda, na wengine hawana ufahamu wa kutosha sehemu ya kuweza kupata huduma mbalimbali. Makundi tajwa hapo yote...
  16. Vifaa vya Ujenzi havijashuka bei

    Cement bado elfu 16 mfuko mmoja nondo bado elfu 21. Waziri wa Fedha alisema material ya ujenzi yanayo zalishwa ndani yatashuka bei tarehe 1/7 lakini bado bei iko vile vile. Kwa namna hii ujenzi utakuwa mgumu[emoji134]
  17. E

    INAUZWA Vifaa vya karakana na Kiwandani vinauzwa

    Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani. Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China. Kwa shughuri zako zote mfano: fabrication modification forging...
  18. Geita: Moto wateketeza vifaa vya wanafunzi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Geita kwa kushirikiana na askari wa GGM wamedhibiti moto uliowaka kwenye moja ya darasa la Shule ya sekondari Geita iliyopo mjini Geita. Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana umeanza kuwaka saa 3 usiku na kuteketeza magodoro na masanduku ya wanafunzi...
  19. Serikali kufunga vifaa vya kielektroniki kufuatilia nyendo za vyombo vyote vya usafiri

    Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo. Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…