Matumizi ya Mifuko ya Plastic yalikatwaza lakini now days, wamekuja na hii mifuko ya ajabu migumu, kama bati 😅.
Hii Mifuko hata miaka Buku haiozi, sedikali tunaomba mfatilie hili, na ubawa wa hizi Plasti ni ngumu snaa hata ukichoma zina moshi mzizo sanaa, na hazikunjiki sana, zikizagaa mitaani...