SWALI:
Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF.
Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinachotumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa?
Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k
Karibuni...