vinu vya nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si walisema wameangamiza kabisa vinu vya nyuklia vya IRAN? vipi tena Mwaisa

    Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran: Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Shambulizi la USA kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 nyuma

    Akizungumza leo kwenye press Gen Caine akiwa na Waziri wa ulinzi amesema kwamba shambulizi la jumapili iliyopita kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 iliyopita kwa kufanyia utafiti kila kitu kuanzia mazingira,miundombinu na siraha gani iundwe kwa ajili ya kufanikisha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Trump amekosoa vyombo vya habari, adai Mashambulizi dhidi ya Iran yaliharibu Vinu vya Nyuklia

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Marekani kwenye vinu vya nyuklia vya Irani limehitimisha rasmi vita kati ya Israeli na Irani

    Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha. Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha. Bora vita imeisha.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  7. JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Putin: Hatutaondoa wanasayansi wetu wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran

    Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran. Itakuwaje sasa, eeeeh? https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862 JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Stuxnet Ilivyoharibu vinu vya kurutubisha nyuklia nchini Iran mwaka 2010

    Stuxnet ilikuwa ni programu hasidi (malware) ambayo iliundwa kwa ajili ya kushambulia miundombinu ya viwanda, hususan vinu vya nyuklia vya Iran. Iliibuka mwaka 2010 na inahusishwa na mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran, haswa katika mtambo wa kurutubisha uranium wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…