Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako.
Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
Tanzania ukifanya vizuri Sana lazima kuna sehemu utabutua. Uhamiaji mmefanya vizuri Sana kusogeza huduma za Pasipoti na Visa za kielekronikia kwenye mtandao. Utaratibu wa kuomba na kukamilisha maombi upo fresh na unaendana na mahitaji ya Dunia Kwa sasa.
Lakini wakati mnatengeneza mfumo mzuri...
Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa.
Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale.
Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha anatumia dakika nyingi sana kusali kwake kama dakika 5 hivi ambazo zilitosha mimi kuimaliza Atlas...
Hivi kuna anayejua kwa nini mgeni akifika TANGANYIKA haruhusiwi kulipa Visa kwa kutumia Credit card ni hadi awe na hela Cash? Hii hulazimu wageni wasio na Visa wajazane kiwanjani wakipanga foleni kwenye ATM kupata hela cash kwa ajili ya kulipia Visa.
Nimeandika TANGANYIKA kwa kuwa, kwa upande...
Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa.
-Je niwe na Documents zipi?
-Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini?
-Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)?
Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland.
Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania?
Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10.
Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru" za Krismasi baada ya takriban miezi miwili ya vizuizi kwa watu kutoka wilaya za Mubende na Kassanda...
Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6
Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa 66 na mtu mdogo zaidi ni mtoto wa mwaka mmoja na mkubwa zaidi ana umri wa miaka 87.
Jumla ya watu...
1. Daudi pamoja na kudharaulika umbile lake lakini alimuua Goliath
2. Petro pamoja na kuaminiwa kote lakini aliweza kumkana yesu Mara tatu
3. Yusuph pamoja na kukataliwa na nduguze lakini akageuka kuwa nguzo kuu
4. Yusuph pamoja na ugwadu wa kitambo kirefu lakini aligoma offer ya game kutoka...
Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana.
Hauta sahau nini katika maisha yako?
Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030 kutakuwa navisa visivyopungua million 23.7 vya vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo na mzunguko wa...
Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ?
Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini.
Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.
Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.
Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
Utangulizi
Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.