Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi...