Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana.

Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000

Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu

Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021.

Kigoma, wao wanasema kijana wao alinusulika baada ya kupigwa na kifo chake kuyangazwa. Wanalo la moyoni Japokuwa hakufa

Mbeya, mpaka leo Mdude hajulikani kama yupo hai au vipi
Chaula ndio wanamlilia kila siku.

Mara, wao wanasema wanamkumbuka hayati JPM.

Dodoma, wao wanasema angekuwepo n
Shujaa Magufuli jiji lisingekuwa hivi.
Kwa hiyo Octoba 28 poja na CCM kusimamisha mgombea mmoja onaweza isitoboe

Tabora, wao ndio funga kazi. Kila siku wanalia. Wanamkumba hayati JPM maana aliwafanyia makubwa.
 
Back
Top Bottom