James Norman Mattis (kuzaliwa Septemba 8, 1950) ni jenerali mstaafu wa jeshi la maji na anga la Marekani. Katika maisha yake ya uanajeshi na uongozi aliweza kushiriki kwenye vita mbalimbali, ikiwepo vita kubwa kama Vita ya Persian Gulf, vita ya Afghanistan, na vita ya Iraq. Pia amewahi kupata...