Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo.
Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏
Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
Mambo mengine ni ya kwetu kabisa wala sio miujiza. Maana kikanuni Mungu hapendi kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyaendesha kwa mkono wa chuma. Tunajiamulia wenyewe.
Sasa wewe endelea kusubiri au kuamini katika miujiza utakoma. Au utakomeshwa.
Mnasikia saivi kuna vita kati ya Israel na...
Wadau wote
Huu ni Uzi maalumu wa Vitabu au nyaraka za Kiroho ambazo hazijaidhinishwa kutumiwa rasmi na Waamini Wakiristo.
Kwa Leo nitaanza na kitabu Cha Testament of Solomon
Karibuni tupeane maarifa
Sabato njema
Moderation naomba usiunganishe Uzi huu kwingineko Tafadhali.
Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalohusu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi.
Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote.
Nawakaribisha wote.
Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika.
Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w.
Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili...
Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani.
Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
Habari za majukumu wakuu,
Kwa wale wenye ufahamu/uzoefu wa uchapishaji, naomba kufahamu mchapaji mzuri wa vitabu hapa Dar. Kuna kazi kubwa ya kufanya.
Asante.
HISTORIA YA HERMANN VON WISSMANN KATIKA VITABU VYANGU VIWILI
Tuanze na sanamu ya Hermann von Wissmann.
Picha na maelezo hayo hapo chini nimeyatoa mahali katika mtandao na nimefanya uhariri kidogo:
''Kabla ya sanamu ya askari iliyowekwa na Waingereza 1927, awali palikuwa na sanamu ya Gavana wa...
Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme.
Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
Yericko Nyerere, aliandika huko Facebook
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa...
Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine.
Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri,
Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi.
Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form...
Habari wana jamvi wa JF,
Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo.
Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa.
Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi.
Hivyo...
Kwema Wakuu!
Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi.
Na hivyo vitabu vinavyozungumziwa je kisheria au Katiba ya nchi yetu inatambua kuna vitabu vitakatifu?
Nini vigezo vya kitabu...
"Kama Vitabu vyetu vya Dini Quran na Biblia vinatufundisha kuwa na Maadili, kuheshimiana, kuvumiliana, Kusameheana na Kutotukanana iweje Wewe Mwanadamu uende navyo Kinyume kwasababu tu ya Maslahi yako ya Siasa?" amesema Rais Mmoja wa duniani ambaye kwa sasa GENTAMYCINE nimemsahau Jina ila najua...
Ili kuiokoa Elimu yetu vitabu vinavyomjenga Mtu Kama kitabu Cha 50 cent hustler harder hustler smater vifundishwe mashuleni kwa ngazi zote
Bila kusahu kitabu Cha Ricu "dady poor dady"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.