Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro.
Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki...
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke haijaweza kutoa leseni za biashara kwa watu waliolipia tayari tangu wiki iliyopita. Binafsi ninasubiria leseni, hivi karibuni baada ya kufuatilia sana mara ya mwisho nilijibiwa hivi "wewe elewa kuwa huwezi kupata leseni kwa sababu vitabu hakuna na vinasubiriwa...
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini.
Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
Here you get Kiswahili version to start with followed by English version
KISWAHILI VERSION
TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII?
Kwanza kabisa TET...
Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani?
1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.
Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama...
Nanyaro EJ
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika
Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika...
Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameihamasisha jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa yao.
Sambasamba na hilo Mwakibete amesema usomaji wa vitabu unaisaidia jamii kupata mbinu mbalimbali za uongozi katika ngazi zote.
Mwakibete...
Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na "teuch" (τευχος) mafundisho au vitabu ama kwa lugha iliyozoeleka ni vitabu vitano vyaTorah au torati.. na...
Venezuela!
Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran.
Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu.
Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri.
Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
Karibu ujipatie kitabu chenye toleo la kwanza na la pili kwa pamoja kinachotoa mwongozo wa ufugaji wa ngurue kuanzia ujenzi wa mabanda, vipimo vyake mbegu sahihi ya kuanza nayo na hata uzalishaji wake...
Utajipatia kitabu hiki kwa elfu kumi na saba tuh 17k.
Mawasiliano
0718982463
Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi !
Asanten
Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea.
Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la kwanza na la pili.
Mawasiliano
0718982463
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.
Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.
Tukiamini hivyo...
Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika leo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
Kwa sasa kumekuwa na mlipuko mkubwa wa kusoma vitabu hivi vya mafanikio na miongozo binafsi(self-help books). Usomaji wowote ule ni mzuri kuliko kutosoma kabisa. Hivyo usomaji wa vitabu hivi ni jambo zuri. Lakini ni kama mlipuko hivi, kila kona kila site kila sehemu watu wanazungumzia vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.