Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya...