Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k.
Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...