Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza,
Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake,
Akaja mgambo akamkamata,
Kijana akahoji kosa lake ni nini?
Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...