vituo vya mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumiaji wa Vituo vya Mwendokasi Barabara ya Morogoro Wapo Hatarini Kugongwa Wanapovuka Barabara

    Ningependa kufikisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa wanayokutana nayo watumiaji wa vituo vya mabasi ya mwendokasi katika njia ya Kimara, hususan wanapovuka Barabara ya Morogoro kwenda au kutoka vituoni. Baada ya upanuzi wa barabara, umbali wa kuvuka umeongezeka, lakini katika baadhi ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma kuwe na vyoo, abiria wanapata tabu wakihitaji huduma

    Nina malalamiko juu ya Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma, abiria huteseka kupata huduma ya washroom kwa sababu ya kusubiria mabasi muda mrefu hususan jioni. Mapendekezo: Waweke vyoo vya kisasa kama vile vya kwenye matamasha kwa sababu abiria huwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali vituo vya mwendokasi mnavyovirekebisha, tutavirekebisha tarehe 7/7

    Amani iwe nanyi watumishi Ndo hivyo Hatuna cha kupoteza Tutavilekebisha hasa hasa upande wa madirisha ya vioo LONDON BOY
  4. JamiiForums Tanzania Presha ya maandamano: Ulinzi waimarishwa Dar, Askari wasambaa vituo vya mwendokasi na makutano ya barabara

    Wakati wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na pilikapilika zao za kila siku, hali ya ulinzi na usalama imeimarishwa katika maeneo mbalimbali, huku askari wa Jeshi la Polisi wakionekana kufanya doria na kuweka ulinzi katika vituo na makutano muhimu ya barabara. Mwananchi imezunguka...
  5. JamiiForums Tanzania Design ya vituo vya mwendokasi vya Mbagala na Tegeta havivutii na vimechoka kuliko vituo vya zamani

    Habari wadau. Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo. Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani walivyojenga wenzako? Pia cha kushangaza vituo hivi vimechoka kuliko vituo vilivyojengwa phase ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naona kama Vituo vya mwendo kasi ni vikubwa mno

    Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote. Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya etc.Nadhani kuna maeneo ni kweli kuna abiria wengi lakini maeneo mengine abiria ni wachache sana. Sikuelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…