Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais magufuli pamoja na wapambe wake,( polepole, kabudi, kakurwa, na wengineo) walisema sio kipaombele chao...