Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.
Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.
Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari.
Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao.
Inadaiwa kati ya Januari na Machi 2022, maafisa wa usalama waliondoa makala kadhaa katika Gazeti la Juba Monitor, ambalo...
Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura'
Kwa tafsiri rahisi ni kuwa...
Unyanyasaji wa kingono katika vyombo vya habari umekuwa ukitajwa kutokea mara kadhaa, mara nyingi waathirika wamekuwa wakiathirika kisaikolojia na wakati mwingine kuwafanya kuwa na msongo wa mawazo, mpaka wengine kuamua kuhamia katika taaluma nyingine.
Takwimu za Chama cha Magazeti na...
Mamlaka za Serikali Nchini Misri imewaachia huru waandishi wa habari watatu ikiwa ni mwendelezo wa Rais wa Nchi hiyo, Abdel Fattah el-Sisi kumalizana na wakosoaji wake.
Waandishi hao ni Ammer Abdel-Moneim, Hany Greisha na Essam Abdeen waliruhusiwa kutoka jela jana Mei Mosi, 2022 baada ya kuwa...
Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa.
Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe...
Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova.
Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano:
1. Kesi ya Mbowe
2. Usalama wa Lisu akirejea nchini
3. Uhuru wa vyama vya siasa
3. Katiba mpya
4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine.
Wakati mwingine...
Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk.
Tasnia ya habari...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee
Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita.
Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika.
Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika.
Wang Yi...
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru.
Mhe. Mwenda ametoa ombi hilo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati akihutubia maelfu ya wananchi...
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje.
Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha
Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022.
Nimeongea na...
Habari wa JF!
Leo nitaongelea muendelezo wa biashara ya uandishi wa vitabu, makala nyingi nilielezea biashara ya ebook ambayo mwandishi hawezi kupata hasara kama wanayopata sasa kwa wale wanaouza whatsapp na facebook.
Leo kwenye kupitapita youtube nimeona tangazo la nguli wa ushauri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.