waandishi

  1. G

    Waandishi wa habari mkipata nafasi ya kufanya mahojiano na rais/mstaafu muulize tuhuma za wizi wa kura

    Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku. Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
  2. Chizi Maarifa

    Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  3. Nyendo

    Wanahabari hawakubaliani na tozo japo wanaandaa vipindi vinavyotetea tozo

    Mmoja wa wadau katika warsha ya uandaaji wa maudhui ya ndani iliyoandaliwa na TCRA alionesha masikito yake kuwa analazimika kuandaa vipindi vinavyotetea tozo japo yeye binafsi hakubaliani na tozo za kwenye miamala ya fedha kwenye simu na benki. Mdau huyo amesema " Nazungumza uongo mbele ya...
  4. JanguKamaJangu

    Haiti: Waandishi wauawa kwa risasi wakiwa kazini, miili yao yachomwa moto

    Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu. Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
  5. A

    DOKEZO CCM lipeni haki za waandishi wenu (NSSF na madai mengine)

    Naandika hii taarifa kwa niaba ya wafanyakazi wa Uhuru Publications Limited ambao wapo na wale ambao walishaondoka hata waliokufa pia, pamoja na wastaafu. Kampuni hiyo yenye gazeti la Uhuru na Mzalendo inadaiwa mamilioni ya fedha za malipo ya mafao pamoja na michango ya wafanyakazi tena ni ile...
  6. BARD AI

    DC Albert Msando: Hakuna mwandishi atakayenyanyaswa

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka waandishi wa habari, kufanya kazi zao kwa kufuata sheria, taratibu na weledi na kwamba hakuna atakayenyanyaswa, wala kunyang’anywa vitendea kazi, wakati wa utekelezaji wa majukumu yake wilayan humo. Msando alisema hayo katika mdahalo...
  7. B

    Joseph Mbilinyi (Sugu): Waandishi na wasanii walishiriki nionekane adui mbele ya jamii

    WAANDISHI WA HABARI NA WASANII WALISHIRIKI KUTENGENEZA TASWIRA HASI Mbunge mstaafu katika mzungumzo exclusive aelezea jinsi sekta ya habari na wasanii walivyoshirikiana kumpatia nafsi ya enemy of the state. Wasanii wa Tanzania waliogopa kupiga picha na Waziri Kivuli wa michezo na sanaa pia...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Wachambuzi hawana tofauti na mashabiki, wote maandazi

    Hivi wabongo tunaweza wapi,maana kila sehemu ni ujinga ujinga tu. Sasa wachambuzi wamegeuka kiwanda cha uzushi
  9. chiembe

    Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  10. kavulata

    Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

    Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa. Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
  11. Lady Whistledown

    Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

    Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
  12. GENTAMYCINE

    Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  13. Stroke

    Agano la Mwisho: Je, Sisi ndio waandishi wa vitabu hivyo?

    Kwa wale Wakristo watakua na ufahamu kwamba, katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna mkusanyiko wa vitabu vya Agano la kale na Agano Jipya. Vitabu vya Agano la kale viliandikwa kabla ya Kuja kwa Yesu Kristo na vilitabiri na kutueleza kuhusu ujio wake. Mtawala katika awamu hiyo Alikua Mungu...
  14. Stroke

    Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Waandishi waungane kukomesha hii Tabia Chafu ya Haji Manara

    Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda. Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
  16. JanguKamaJangu

    Waandishi wawili wa Reuters wajeruhiwa, dereva wao auawa Ukraine

    Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk Tukio hilo ni mwendelezo wa maumivu wanayopata waandishi wa habari katika vita ya taifa hilo dhidi ya Urusi...
  17. FRANCIS DA DON

    Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

    Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
  18. Lady Whistledown

    Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  19. B

    Mwenezi Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na Waandishi wa Habari leo 23 Mei 2022

    🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
  20. My Honest Book

    Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

    Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu...
Back
Top Bottom