Serikali ya Tanzania inaendelea kuheshimu na kulinda tasnia ya habari na wanahabari kuweka misingi imara ya sheria inayofanya watendaji wake kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mhimili mwingine wa Nchi.
Tasnia na wanatasnia wa Tanzania wapo huru na wanaendelea kulindwa na kuheshimiwa, ili...
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
===
Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
"Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu
#“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
UNESCO: UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA HAKI YA KUPATA TAARIFA WAZIDI KUFINYWA DUNIANI
UNESCO imeripoti kuwa waandishi wa habari wanatendewa maovu wanapokuwa kazini hasa kufuatilia matukio ya migomo na maandamano. Ripoti imeonyesha polisi wamekuwa wakivunja uhuru wa vyo vya habari kwa nusu ya...
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole.
Mzee Jakaya Kikwete...
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio...
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka hewani hoyo habari bila kuifanyia utafiti
Wakaongea na meneja wa Tim akawaambia hilo jambo...
Leo sikuwa nataka kuandika chochote lakini baada ya kusikiliza wimbo wa AllY Kiba hasa kipande chenye maneno "WATEMA BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA"
Nimetafakari sana sana nikakumbuka visa vichache sana. Hapo nyuma wasanii walinyimwa kufanya shows mbali mbali kwa sababu mbali mbali...
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah
Say something!
Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
Waandishi wa habari Ni mhimili muhimu sana katika utawala bora na uibuaji wa kero za watu na makundi mbalimbali, lakini Waandishi wetu huwa wamekumbwa na kadhia ya kushindwa kuripoti kile wanachotaka kuripoti na kile wanachopaswa kuripoti kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kukosa weledi...
Historia ya ndani ya nchi ya Tanzania katika kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya Habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuhishwa kama vyama vya upinzani hususani vyombo binafsi vya habari, waaandishi wanaojitegemea pia huwa katika wakati mgumu katika kutekeleza majukumu...
Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 11/8/2020 yenye kichwa cha habari kinachosema "SIMPITISHI YEYOTE MATESO HAYA" habari hii yenye paragrafu 29 imeandikwa na waandishi 14, ambao ni Daniel Mjema, Bakari Kiango, Andrew Gasper, Mussa Juma, Rachael Chibwete , Twalad Salum, Rehema Matowo, Ernest...
Mkurugenzi wa TBC anamuongelea Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, katika sekta ya habari anasema alikuwa mtendaji mahiri aliyependa umakini kitu ambacho TBC wamekuwa wakisisitiza mpaka sasa kitu ambacho Mkapa alikisimamia wakati akiwa mhariri.
Pia ameongelea Mkapa akiwa...
Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini
Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla.
Rais wa UTPC...
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari.
Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...