Kwa mujibu wa Shirika la Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka RSF, takribani nusu ya waandishi wa habari 400 waliofungwa duniani kote wapo katika mataifa matatu tu, ambayo ni China, Misri na Saudi Arabia
Akizungumza kabla ya kuchapisha ripoti ya mwaka huu ya shirika hilo kuhusu uhuru wa habari...