Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
Habari wadau.
Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi.
Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao
Ila sisi weusi kila tajiri...
Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
Shirika la misaada katika eneo lenye vita la Darfur, limesema Aprili 24 2022 yaliibuka mapigano kati ya waarabu na wasikuwa waarabu magharibi mwa Darfur, na kusababisha vifo na majeruhi
Inaripotiwa kuwa mapigano hayo yalianza Aprili 21 kwa mauaji ya watu wawili na mshambuliaji asiyejulikana...
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu.
I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
Inakuwaje wanajamvi!
Oman Arabs ama waarabu wa Omani wana sifa moja kubwa sana katika mashauriano, upatanishi na diplomasia.
Wanatumika na kuhitajika sana kwenye nyanja hizo. Tunaona hata mateka na wafungwa wa magharibi Iran hata kwa wataliban Oman inatumika kama 'Mabrokers' pande zote mbili...
By Laurel Sutherland on 18 February 2022
- In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...
Huko kaskazini mwa Tanzania, zaidi ya wakazi 70,000 wa jamii za Kimasai wanakabiliwa tena na kufukuzwa kutoka kwenye ardhi ya mababu zao baada ya serikali kuweka wazi mipango ya kukodisha ardhi hiyo kwa kampuni kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - UAE, ili kuunda ukanda wa wanyamapori kwa ajili ya...
Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa
Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama...
Ni swali hili. Kama tujuavyo wageni weupe wameanza kuja Tanganyika kwenye karne ya nane.
Ikumbukwe hawa wageni ndio wameleta ustaarabu wa dini hizi tulizonazo sasa ambazo tunaambiwa zitatufikisha mbinguni kwa baba.
Swali: Je, ambao wameshafariki kabla ya kuja dini hizi watahesabika kama...
Mkuu wa kikosi cha Anga cha jeshi la Zambia, Lt. General Collin Barry.
Rais wa sasa Hakainde Hichilema alipokuwa anakusanya kikosi kazi ameamua kumchukua m_skottish Collin Barry asaidie kuipeleka mbele Zambia.
Pamoja na kukulia na kusomea Zambia na wazazi wake ubaguzi kwa nchini humo haukuwa...
Kwa hakika siku zinaenda leo jezi kuwa na wadhamini wengi zinaitwa siyo za mpira, bahasha za khaki ni hatari sana
===
Sare ya Yanga na uchafu wa jezi ya Al Ahly
MONDAY APRIL 11 2016
Summary
Mbele ya mboni za macho yangu ni kama vile Yanga wameshinda. Wamewezaje kucheza na timu ambayo ina...
Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita
130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan.
Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
Duniani kuna dini zaidi ya 99 na madhehebu ya dini mengi yasiyo na idadi. Wakristo wana madhehebu zaidi ya 43,000.
Takwimu zzinaonyesha angalau nusu 54% ya wakazi wa Dunia hii wanaamini kwenye miungu ya mashariki ya kati, yaani miungo ya waarabu na wayahudi, sehemu nyingine wanaamini miungo wao...
Afrika bado sana, wakati serikali zetu zinapuyanga kwenye siasa za kuumiza wananchi wake na kufikilia kumuweka mtawala afie madaraka wengine wanasafiri.
MADA:
Nimekuwa nafuatilia hawa waarabu kwenye hili jambo la kurusha chombo cha anga za mbali, pamoja na kuwatumia baadhi ya wazungu ila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.